14 Wala sifanyi agano hili leo kwa niaba yenu tu na kutamka laana zake; sifanyi kwa niaba ya wale tu walio pamoja nasi leo mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu,
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 29
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 29:14 katika mazingira