28 Naye Mwenyezi-Mungu, akawangoa kutoka katika nchi yao kwa hasira na ghadhabu kubwa, akawatupa katika nchi nyingine kama ilivyo leo.’
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 29
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 29:28 katika mazingira