Kumbukumbu La Sheria 3:2 BHN

2 Lakini Mwenyezi-Mungu aliniambia, ‘Usimwogope, maana nimemtia mikononi mwako pamoja na watu wake na nchi yake. Utamtendea kama ulivyomtendea Sihoni mfalme wa Waamori aliyekaa kule Heshboni’.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 3

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 3:2 katika mazingira