Kumbukumbu La Sheria 3:24 BHN

24 ‘Ee Bwana, Mwenyezi-Mungu, ninajua umenionesha mimi mtumishi wako mwanzo tu wa ukuu wako na uwezo wako. Maana, kuna mungu gani huko mbinguni au duniani awezaye kufanya mambo makuu na ya ajabu kama ulivyofanya wewe?

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 3

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 3:24 katika mazingira