Kumbukumbu La Sheria 3:8 BHN

8 “Wakati huo tuliitwaa nchi hiyo ya wale wafalme wawili wa Waamori waliokuwa wanakaa ngambo ya mto Yordani, katikati ya mto Arnoni na mlima Hermoni.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 3

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 3:8 katika mazingira