Kumbukumbu La Sheria 30:3 BHN

3 hapo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawarudishieni mema yenu na kuwahurumia na kuwakusanya tena kutoka katika mataifa ambamo atakuwa amewatawanya.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 30

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 30:3 katika mazingira