9 Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawafanya mfanikiwe katika kila mtakalofanya; mtakuwa na watoto wengi na ng'ombe wengi na mashamba yenu yatatoa mazao. Maana atapenda tena kuwafanya mfanikiwe kama vile alivyopenda kuwafanikisha wazee wenu,
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 30
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 30:9 katika mazingira