16 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Umekaribia sasa kuaga dunia, na baada ya kufariki, watu wataanza kuniacha na kuiendea miungu mingine ya nchi hiyo ambamo watakwenda kuishi; wataniacha na kuvunja agano nililoagana nao.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 31
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 31:16 katika mazingira