Kumbukumbu La Sheria 31:2 BHN

2 akawaambia, “Mimi sasa nina umri wa miaka 120, na sina nguvu ya kufanya kazi zaidi. Tena Mwenyezi-Mungu, ameniambia kuwa sitavuka mto Yordani.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 31

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 31:2 katika mazingira