Kumbukumbu La Sheria 31:27 BHN

27 Maana najua mlivyo waasi na wakaidi. Ikiwa mmemwasi Mwenyezi-Mungu wakati niko hai pamoja nanyi, itakuwaje baada ya kifo changu?

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 31

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 31:27 katika mazingira