29 Maana ninajua kuwa baada ya kifo changu hakika mtakuwa waovu na kuiacha ile njia niliyowaamuru mwifuate. Na katika siku zijazo mtakumbwa na maafa kwa kuwa mtafanya maovu mbele ya Bwana na kumkasirisha kwa matendo yenu.”
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 31
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 31:29 katika mazingira