8 Mwenyezi-Mungu ndiye anayewaongoza; yeye atakuwa pamoja nanyi; yeye hataacha kuwasaidia na hatawatupa. Hivyo, msiogope wala msifadhaike.”
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 31
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 31:8 katika mazingira