Kumbukumbu La Sheria 32:35 BHN

35 Kisasi ni juu yangu,mimi nitalipiza,wakati miguu yao itakapoteleza;maana siku yao ya maafa imewadia,mwisho wao u karibu sana.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 32

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 32:35 katika mazingira