Kumbukumbu La Sheria 32:51 BHN

51 kwa sababu nyote wawili mlivunja uaminifu wenu kwangu mbele ya Waisraeli mlipokuwa kwenye maji ya Meriba, karibu na mji wa Kadeshi, katika jangwa la Sini, mkakosa kuuthibitisha utakatifu wangu kati ya Waisraeli.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 32

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 32:51 katika mazingira