Kumbukumbu La Sheria 33:12 BHN

12 Juu ya kabila la Benyamini alisema:“Hili ni kabila alipendalo Mwenyezi-Mungu,nalo hukaa salama karibu naye.Yeye hulilinda mchana kutwa,na kukaa kati ya milima yake.”

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 33

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 33:12 katika mazingira