Kumbukumbu La Sheria 33:19 BHN

19 Watawaalika wageni kwenye milima yao,na huko watu watatoa sadaka zinazotakiwa.Maana wao watapata utajiri wao kutoka baharinina hazina zao katika mchanga wa pwani.”

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 33

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 33:19 katika mazingira