Kumbukumbu La Sheria 33:23 BHN

23 Juu ya kabila la Naftali alisema:“Ee Naftali fadhili,uliyejaa baraka za Mwenyezi-Mungu,nchi yako ni kusini kwenye ziwa Kinerethi.”

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 33

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 33:23 katika mazingira