Kumbukumbu La Sheria 33:28 BHN

28 Kwa hiyo, watu wa Israeli wakakaa salama,wazawa wa Yakobo peke yao,katika nchi iliyojaa nafaka na divai,nchi ambayo anga lake hudondosha umande.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 33

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 33:28 katika mazingira