Kumbukumbu La Sheria 34:1 BHN

1 Basi, Mose akaondoka kwenye tambarare ya Moabu, akaenda mlimani Nebo, akapanda kilele cha Pisga kilicho mkabala wa Yeriko. Hapo Mwenyezi-Mungu akamwonesha nchi yote: Toka Gileadi mpaka Dani;

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 34

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 34:1 katika mazingira