25 “Mtakapokuwa mmekaa katika nchi hiyo, mkapata watoto na wajukuu na kuwa wazee, kama mkianza kupotoka na kujifanyia sanamu ya kuchonga katika umbo la kitu chochote, mkafanya uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kumkasirisha,
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 4
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 4:25 katika mazingira