3 Nyinyi mliona kwa macho yenu mambo ambayo Mwenyezi-Mungu aliyafanya kuhusu Baal-peori. Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliwaangamiza watu wote miongoni mwenu waliomwabudu huyo mungu Baal-peori.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 4
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 4:3 katika mazingira