40 Kwa hiyo shikeni masharti yake na amri zake ambazo ninawapeni leo ili mfanikiwe, nyinyi pamoja na wazawa wenu, na kuishi siku nyingi katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni iwe yenu milele.”
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 4
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 4:40 katika mazingira