Kumbukumbu La Sheria 4:46 BHN

46 wakiwa ngambo ya mto Yordani, katika bonde lililo mbele ya Beth-peori, katika nchi iliyokuwa ya mfalme Sihoni wa Waamori, aliyetawala kutoka mjini Heshboni, ambaye Mose na Waisraeli walimshinda walipotoka Misri.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 4

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 4:46 katika mazingira