Kumbukumbu La Sheria 4:5 BHN

5 “Haya! Nimewafundisheni masharti na maagizo kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, alivyoniamuru nifanye, ili muyazingatie katika nchi mnayokwenda kuimiliki.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 4

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 4:5 katika mazingira