9 “Lakini muwe waangalifu na kujihadhari sana msije mkasahau mambo yale mliyoyaona kwa macho yenu wenyewe. Isije ikatokea hata mara moja maishani mwenu mambo hayo yakasahaulika mioyoni mwenu. Wasimulieni watoto wenu na wajukuu wenu
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 4
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 4:9 katika mazingira