Kumbukumbu La Sheria 5:14 BHN

14 lakini siku ya saba ni siku ya Sabato ambayo imetengwa kwa ajili yangu. Siku hiyo wewe usifanye kazi yoyote, wala mwanao, wala binti yako, wala mtumwa wako wa kiume au wa kike, wala ng'ombe wako, wala punda wako, wala mnyama wako yeyote, wala mgeni aliye ndani ya malango yako, ili mtumwa wako wa kiume na wa kike wapate kupumzika vilevile kama wewe.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 5

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 5:14 katika mazingira