Kumbukumbu La Sheria 5:16 BHN

16 “ ‘Waheshimu baba yako na mama yako, kama vile mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako nilivyokuamuru; fanya hivyo ili uishi siku nyingi na kufanikiwa katika nchi ambayo ninakupatia.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 5

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 5:16 katika mazingira