Kumbukumbu La Sheria 5:27 BHN

27 Heri wewe Mose uende karibu, ukasikilize yote atakayosema Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, kisha uje kutuambia mambo hayo yote atakayokuambia. Sisi tutayasikiliza na kuyatekeleza’.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 5

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 5:27 katika mazingira