Kumbukumbu La Sheria 5:32 BHN

32 “Nyinyi muwe waangalifu mkafanye kama Mwenyezi-Mungu alivyowaamuru; tekelezeni kila kitu barabara.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 5

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 5:32 katika mazingira