Kumbukumbu La Sheria 6:10 BHN

10 “Kama vile Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alivyowaapia babu zenu, Abrahamu, Isaka na Yakobo, yeye atawapeni nchi yenye miji mikubwa na mizuri iliyostawi ambayo nyinyi hamkuijenga.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 6

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 6:10 katika mazingira