Kumbukumbu La Sheria 6:15 BHN

15 hasira ya Mwenyezi-Mungu isije ikawaka juu yenu, naye akawafutilia mbali kutoka duniani, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliye kati yenu, ni Mungu mwenye wivu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 6

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 6:15 katika mazingira