Kumbukumbu La Sheria 6:18 BHN

18 Fanyeni yale yanayompendeza Mwenyezi-Mungu, ili mpate kufanikiwa. Mtaweza kuimiliki nchi ile nzuri ambayo Mwenyezi-Mungu aliapa kuwapa babu zenu,

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 6

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 6:18 katika mazingira