Kumbukumbu La Sheria 6:7 BHN

7 na kuwafundisha kwa uangalifu watoto wenu. Mtawasimulia muwapo mnakaa nyumbani au mlipo safarini au mnapolala au mnapoamka.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 6

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 6:7 katika mazingira