Kumbukumbu La Sheria 7:15 BHN

15 Mwenyezi-Mungu atawaondoleeni magonjwa yote na hamtapatwa na magonjwa yoyote ya kutisha kama yaliyowapata huko Misri, lakini atawapa maadui zenu magonjwa hayo.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 7

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 7:15 katika mazingira