Kumbukumbu La Sheria 7:20 BHN

20 Zaidi ya hayo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atapeleka mavu kati yao na kuwaangamiza wale ambao watawatoroka ili kujificha.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 7

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 7:20 katika mazingira