8 Lakini ni kwa sababu Mwenyezi-Mungu anawapenda na anashika kiapo alichowaapia babu zenu, ndiyo maana aliwaokoeni kwa mkono wake wenye nguvu na kuwaokoa toka utumwani, toka mikono ya Farao mfalme wa Misri.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 7
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 7:8 katika mazingira