Kumbukumbu La Sheria 8:3 BHN

3 Aliwanyenyekesha, akawaacha muone njaa na baadaye akawapa mana mle, chakula ambacho hamkukijua, wala babu zenu hawajapata kukijua. Alifanya hivyo ili apate kuwafundisha kuwa binadamu haishi kwa mkate tu, bali kwa kila asemalo Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 8

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 8:3 katika mazingira