Kumbukumbu La Sheria 9:19 BHN

19 Niliogopa kwamba hasira na ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu dhidi yenu, ingewaangamiza; lakini Mwenyezi-Mungu alinisikiliza pia wakati huo.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 9

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 9:19 katika mazingira