7 “Kumbukeni na msisahau jinsi mlivyomkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kule jangwani. Tangu siku ile mlipotoka nchi ya Misri mpaka siku mlipofika mahali hapa, nyinyi mmekuwa mkimwasi Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 9
Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 9:7 katika mazingira