Maombolezo 2:1 BHN

1 Mwenyezi-Mungu, kwa hasira yake,amewaweka watu wa Siyoni gizani.Fahari ya Israeli ameibwaga chini.Siku ya hasira yakealilitupilia mbali hata hekalu lake.

Kusoma sura kamili Maombolezo 2

Mtazamo Maombolezo 2:1 katika mazingira