Maombolezo 2:2 BHN

2 Mwenyezi-Mungu ameharibu bila hurumamakazi yote ya wazawa wa Yakobo.Kwa ghadhabu yake amezibomoa ngome za watu wa Yuda.Ufalme wao na watawala wakeameuporomosha chini kwa aibu.

Kusoma sura kamili Maombolezo 2

Mtazamo Maombolezo 2:2 katika mazingira