14 Manabii wako wamekuonea maono madanganyifu,hawakufichua wazi uovu wakoili wapate kukurekebisha,bali walikuonea kauli ya uongo na ya kupotosha.
Kusoma sura kamili Maombolezo 2
Mtazamo Maombolezo 2:14 katika mazingira