Maombolezo 2:15 BHN

15 Wapita njia wote wanakudhihaki;wanakuzomea, ee Yerusalemu,wakitikisa vichwa vyao kwa dharau na kusema:“Je, huu ndio ule mji uliofikia upeo wa uzuri,mji uliokuwa furaha ya dunia nzima?”

Kusoma sura kamili Maombolezo 2

Mtazamo Maombolezo 2:15 katika mazingira