Maombolezo 2:16 BHN

16 Maadui zako wote wanakuzomea,wanakufyonya na kukusagia meno,huku wakisema, “Tumemwangamiza!Kweli, siku ile tuliyoingojea kwa hamusasa imefika na tumeiona!”

Kusoma sura kamili Maombolezo 2

Mtazamo Maombolezo 2:16 katika mazingira