Maombolezo 2:17 BHN

17 Mwenyezi-Mungu amefanya yale aliyokusudia,ametekeleza yale aliyotishia;kama alivyopanga tangu kaleameangamiza bila huruma yoyote;amewafanya maadui wafurahie adhabu yako,amewakuza mashujaa wa maadui zako.

Kusoma sura kamili Maombolezo 2

Mtazamo Maombolezo 2:17 katika mazingira