Maombolezo 2:18 BHN

18 Kuta zako, ee mji wa Siyoni, zimlilie Mwenyezi-Mungu!Machozi na yatiririke kama mto mchana na usiku!Lia na kuomboleza bila kupumzika!

Kusoma sura kamili Maombolezo 2

Mtazamo Maombolezo 2:18 katika mazingira