Maombolezo 2:19 BHN

19 Usiku kucha uamkeamke ukalie.Mfungulie Mwenyezi-Mungu yaliyo moyoni mwako.Mwinulie mikono yako kuwaombea watoto wako,watoto wanaozirai kwa njaa popote barabarani.

Kusoma sura kamili Maombolezo 2

Mtazamo Maombolezo 2:19 katika mazingira