Maombolezo 2:4 BHN

4 Amevuta upinde wake kama adui,na kuuweka mkono wake wa kulia tayari,amewaua wote tuliowaonea faharikatika maskani yetu watu wa Siyoni.Ametumiminia hasira yake kama moto.

Kusoma sura kamili Maombolezo 2

Mtazamo Maombolezo 2:4 katika mazingira