Maombolezo 2:5 BHN

5 Mwenyezi-Mungu amekuwa kama adui,ameangamiza watu wa Israeli;majumba yake yote ameyaharibu,ngome zake amezibomoa.Amewazidishia watu wa Yudamatanga na maombolezo.

Kusoma sura kamili Maombolezo 2

Mtazamo Maombolezo 2:5 katika mazingira