Maombolezo 2:7 BHN

7 Mwenyezi-Mungu ameipuuza madhabahu yakena hekalu lake amelikataa.Kuta za majumba mjini amewaachia maadui wazibomoe,wakapiga kelele humo nyumbani kwa Mwenyezi-Mungukama kelele za wakati wa sikukuu.

Kusoma sura kamili Maombolezo 2

Mtazamo Maombolezo 2:7 katika mazingira